GET /api/v0.1/hansard/entries/748751/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 748751,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/748751/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "I will read: “I, hereby, seek that the Wiper Democratic Party submits at least two names to Parliament for elections as is the spirit of Rule 6(1) on the number of nominees of each party, otherwise, subjecting the voters, Hon. Members of Parliament, to an election where the candidate is one will defeat the very essence of an election.” Wamezoea kudhulumu Wakenya. Wakenya 41 walipoomba nafasi, unawanyamazisha kwa nguvu. Hii ni kwa sababu wengine wao, miongoni mwao, kuna mtoto wa mwaniaji mwenza wa NASA na kwa hivyo, hutoangalia haki ya Wakenya. Ndiposa tukasema, siku ile tulipochagua Jaji Mkuu, tulipeana majina matatu kwa Rais. Kwa nini wakati tulichagua Jaji Mkuu tulipeana majina matatu lakini tunapochagua Wabunge wanaowakilisha Kenya katika Bunge la Afrika Mashariki, NASA inaleta jina moja? Hii ni dhuluma. Kama Kamati, tumesema hatutaunga mkono dhuluma hiyo."
}