GET /api/v0.1/hansard/entries/748764/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 748764,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/748764/?format=api",
"text_counter": 190,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Bunge ni Bunge. Wale Wabunge wanaenda Afrika Mashariki kuwakilisha Wakenya, hawaendi huko kama CORD ama Jubilee. Wakati unaweka mikakati ya kudhulumu watu wako ndio waandike barua kwa chama wakisema chama kinawadhulumu, sisi kama Kamati hatutaunga mkono dhuluma ya vyama. Hili ni Bunge na Bunge haliko hapa kufanya uteuzi. Ukisoma kanuni ya Afrika Mashariki, utaona inasema Bunge ifanye uchaguzi na isifanye uteuzi. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Ripoti ambayo iko mbele yetu. Asante."
}