GET /api/v0.1/hansard/entries/749017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 749017,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/749017/?format=api",
"text_counter": 161,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kipyegon",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1453,
"legal_name": "Johana Ngeno Kipyegon",
"slug": "johana-ngeno-kipyegon"
},
"content": "Kwa hivyo, hii Kashfa ya National Youth Service (NYS) ni ya watu wametuzoea. Kumbuka juzi tu, Bwana Rotich alikuja hapa na kutuelezea kwamba, kwa sababu ya njaa na ukame, wameamrisha kwamba mahindi yote ambayo inatoka nje haitatozwa ushuru. Hata mimi mwenyewe nilishangaa kwa nini Bwana Rotich hakusema tunahijati tani fulani za mahindi ndio wakora wasitumiwe kuileta. Wametuambia mahindi imetoka Mexico. Hata Kenya imeingia kwa orodha ya “Maajabu Tisa ya Ulimwengu”. Yaani, hiyo mahindi ilisafirishwa kwa masaa 48 kutoka Mexico hadi Kenya. Hiyo haijawahi kutendeka hata kwa dunia nyingine."
}