GET /api/v0.1/hansard/entries/752464/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 752464,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/752464/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Lakini maadamu utafanya maamuzi, nitaangalia kwenye televisheni hivyo hivyo mwenzangu amenieleza. Nawasihi wabunge wenzangu waangalie kwa kikamilifu jambo hili. Sheria hazibadilishwi tu ili kupendekeza majina fulani. Chama cha ODM, vile ninavvojua, kitaendelea kusisitiza kuwa majina haya haya ndiyo yatakayoletwa tena. La mwisho, hatujui ni akina nani watarudi kushughulikia haya mambo. Nakubaliana na Mheshimiwa Duale kuwa kuanzia kesho, masilahi yake yatakuwa kuangalia kuwa amerudi hapa. Haya mengine kwake ni mzigo ambao hataki kubebana nao. Naomba nikunje jamvi kwa kusema hivi: tusigeuze sheria ili kubinafsisha watu fulani. Labda wengine wenu mnataka tuzigeuze ili msipo bahatika kurudi, basi majina yenu yaingizwe. Hata mimi naambiwa labda huenda nataka hivyo hivyo."
}