GET /api/v0.1/hansard/entries/753103/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 753103,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/753103/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, ni ajabu kwamba tuna majimbo lakini watu wanaitwa Nairobi kuja kuhojiwa. Kwa nini hiyo huduma haiwezi kufanyika katika makao makuu ya kaunti? Naomba hili jambo liangaliwe sana. Kwa mfano, katika eneo la Kwale, msichana mmoja tu aliitwa kwenda kuhojiwa, lakini hakuweza kuchukuliwa. Je, kuna usawa katika uajiri? Tunaomba kwamba katika upande wa uajiri, pia uangaliwe na uweze The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}