GET /api/v0.1/hansard/entries/755329/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755329,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755329/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Wamalwa amesema kwamba ratiba, tabia na kanuni za demokrasia ni kwamba pande zote mbili zingeafikiana kwa uzinduzi na utengenezaji wa kamati itakayosimamia ratiba na biashara ya Bunge. Tatizo kubwa nikwamba wako kwa maruerue ya mungwana wao na ukiritimba. Wamefungwa minyororo na wakubwa wao."
}