GET /api/v0.1/hansard/entries/755331/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755331,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755331/?format=api",
    "text_counter": 105,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Walisema ya kwamba hawatakuja kuapishwa lakini walijua kwamba sheria inafuata mkondo wake, walikuja hapa kuapishwa. Jana walisema kwamba hawatahudhuria Bunge kwa sababu Rais si halali, lakini wamegundua kwamba Rais ni halali na yuko ndani ya mamlaka. Kwa hivyo, nataka kuwaeleza kwamba tatizo sio ndani ya Bunge ama Rais, lakini ni kwamba wana matatizo wao wenyewe. Hawajaelewana nani atakuwa kiranja wa wachache ndani ya Bunge. Matatizo yao wasituletee sisi. Tuko tayari kuendeleza kazi yetu. Kwa hivyo, nyinyi mtatue matatizo yenu na mkisha maliza muendelee."
}