GET /api/v0.1/hansard/entries/755332/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755332,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755332/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mwisho, uwapatie wosia kwa sababu wengi ni wachache. Iwapo hawataleta wale watakaowakilisha, sheria na kanuni za Bunge hazisimami. Tutaendelea na kazi. Wao wajue kupitia kwetu sisi wengine wakiona kamba tunaruka kwa sababu tuliwahi umwa na nyoka. Kichapo kitawapata. Hamjachaguliwa kwenda kuabudu mtu bali kuhudumia wananchi. Sisi tunataka Bunge liendelee. Kwa hivyo, hoja ya nidhamu kwa wote walioko kwa Upinzani ni kwamba hamtasimamisha ratiba ya Bunge kwa matatizo yenu wenyewe."
}