GET /api/v0.1/hansard/entries/755345/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755345,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755345/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Yusuf Hassan Abdi",
    "speaker_title": "The Member for Kamukunji",
    "speaker": {
        "id": 398,
        "legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
        "slug": "yusuf-hassan-abdi"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika. Kwanza, nachukua fursa hii kuwapongeza Wabunge wote ambao wamechaguliwa na wananchi. Nataka kusema kwamba Bunge ni nguzo muhimu katika uongozi wa nchi yetu. Lazima tushikilie hiyo kwa nguvu na tuhakikishe kwamba tunawakilisha umma."
}