GET /api/v0.1/hansard/entries/755349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 755349,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755349/?format=api",
"text_counter": 123,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Yusuf Hassan Abdi",
"speaker_title": "The Member for Kamukunji",
"speaker": {
"id": 398,
"legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
"slug": "yusuf-hassan-abdi"
},
"content": " Mhe. Spika, nataka kuwapongeza Waheshimiwa waliochaguliwa na umma na kutupatia fursa ya kuwakilisha Kenya katika Bunge hili la 12. Nikiongezea sauti yangu kwa wale wengine, tuendelee na kazi zetu. Tumechaguliwa kama Wabunge. Tuwaachie hawa wakereketo wakubwa wakongwe waendelee na mambo yao huko Kibera na Kamukunji Grounds. Kazi yetu iwe kutimiza wajibu wa kutunga sheria, kuwakilisha wananchi wetu katika Bunge hili na tutimize kazi yetu kama tulivyoletwa hapa na wananchi."
}