GET /api/v0.1/hansard/entries/755350/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 755350,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755350/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Yusuf Hassan Abdi",
"speaker_title": "The Member for Kamukunji",
"speaker": {
"id": 398,
"legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
"slug": "yusuf-hassan-abdi"
},
"content": "Ninajua ya kwamba watu wengi watauliza suala la demokrasia. Maana ya demokrasia ni kwamba unawakilisha wananchi wa Kenya, na umechaguliwa kihalali katika Bunge hili. Sisi wote tumechaguliwa. Sasa kazi ambayo wananchi wa Kenya wanataka ni kutimiza wajibu wetu. Kesho utakaporudi katika eneo la Bunge ulilochaguliwa, hawatakuuliza kama ulisimama Kibera ama Kamukunji Grounds ukazungumza. Watakuuliza umefanya nini, umetunga sheria gani na umefanya kazi gani katika Bunge kuajibika kuchaguliwa tena."
}