GET /api/v0.1/hansard/entries/755351/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 755351,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755351/?format=api",
"text_counter": 125,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Yusuf Hassan Abdi",
"speaker_title": "The Member for Kamukunji",
"speaker": {
"id": 398,
"legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
"slug": "yusuf-hassan-abdi"
},
"content": "Mkumbuke kwamba, demokrasia tuliyonayo tumeipigania kwa miaka mingi. Wengi wetu tumekuwa uhamishoni, wengine wamekwenda jela na wengine wamefariki ili tupate haki ya kupata kuwakilisha sawa sawa wananchi wa Kenya. Kwa hivyo, lazima tushikilie na tupiganie hiyo haki, tuindeleze mbele na tuhakikishe kwamba tunatumia Bunge kubadilisha mambo tunayotaka kuyabadilisha, tutengeneze mambo yanayohitajika kutengenezwa, tutunge sheria za haki na tuendeleze nchi yetu pamoja."
}