GET /api/v0.1/hansard/entries/755529/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755529,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755529/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "34C. Hizo ni kelele za chura. Natabiri leo kuwa Uhuru atakuwa Rais kwa mara ya pili katika miezi mitatu. Hiyo ndiyo ishara na tuko tayari kumpeleka na kucheza tena. Kongole kwako na asante, Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii."
}