GET /api/v0.1/hansard/entries/755544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755544,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755544/?format=api",
    "text_counter": 136,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms. Janet Nangabo Wanyama",
    "speaker_title": "The Woman Representative for Trans Nzoia County",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika. Mimi pia ningependa kuchukua nafasi hii kwanza kutoa shukrani kubwa sana kwa kuchaguliwa tena kuwa Spika wetu kwa mara ya pili. Pia, nachukua nafasi hii kuwashukuru wenzangu wale wamechaguliwa katika Bunge la Kitaifa. Tena, nachukua nafasi hii kuwashukuru watu wangu wa Trans Nzoia County kwa kunipa nafasi tena kwa muhula wa pili kuwahudumia kama mama wa kaunti."
}