GET /api/v0.1/hansard/entries/755545/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 755545,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755545/?format=api",
"text_counter": 137,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms. Janet Nangabo Wanyama",
"speaker_title": "The Woman Representative for Trans Nzoia County",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Nataka kuchangia Hotuba ya Mhe. Rais. Nashukuru sana kwa sababu kama angekuwa mwingine, hangepata nafasi ya kusimama mbele yetu na kutoa hotuba ile alitoa jana. Kwanza, Mhe. Rais alisema lazima tukuwe na amani katika nchi yetu ya Kenya ndiposa tutoe uhasama miongoni mwa wananchi. Pia, aliongea kuhusu usalama katika nchi yetu ya Kenya kwa sababu tusipokuwa na usalama katika nchi yetu, maisha yetu na wananchi haitakuwa sambamba. Licha ya kukumbwa na yale yalimpata hivi juzi, mimi ninajua sisi wengine katika chama chetu cha Jubilee kutoka sehemu za Western tulimchagua. Licha ya mahakama kutoa uamuzi, sisi tuko tayari tena kwenda mashinani na kuuliza watu kutoka sehemu za Western na Trans Nzoia kwa jumla kuhakikisha kwamba tarehe17 Ocktoba Mhe. Rais atarudi kuwa Rais wa nchi ya Kenya."
}