GET /api/v0.1/hansard/entries/755546/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755546,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755546/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms. Janet Nangabo Wanyama",
    "speaker_title": "The Woman Representative for Trans Nzoia County",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Nataka nishukuru kwa sababu vile tumekuwa na Rais wetu, sisi kina mama kutoka kwa kaunti zetu hapo awali hatukukua na pesa. Lakini saa hii pesa zile tumepewa kutoka kwa hazina ya Affirmative Action zimetusaidia kufikia kina mama kule mashinani na mnaona kwamba viongozi kina mama wamechaguliwa kutoka kwa kaunti zetu kama Seneti na hata katika Bunge la Kitaifa. Unaona kwamba wamama wamepewa kipao mbele kuonyeshwa kwamba hao pia wako sambamba katika nchi yetu ya Kenya kwa sababu maslahi ile tunahudumia wananchi ni sawa na hawa Wabunge wengine. Nasihi wamama wenzetu walioko hapa, tushikane na haswa kutoka kwa mrengo wa Jubilee kuhakikisha kwamba maslahi ya kina mama katika nchi yetu ya Kenya vile Rais amesema tunaipatia kipao mbele."
}