GET /api/v0.1/hansard/entries/755600/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755600,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755600/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Woman Representative for Kajiado County",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Rais, vile vile ametuonyesha kwamba ni jukumu letu Wabunge kulinda na kutimiza Katiba, na kudumisha amani nchini Kenya. Si kwamba Kenya itasimama kwa sababu ya siasa. Ni vizuri tuelewe kwamba kazi ambayo imetuleta hapa Bungeni si mambo ya urais; hiyo iko na siku yake. Tuko hapa kwa ajili ya wale waliotuchagua kuwatumikia. Kwa hivyo, tumesimama pamoja na Rais. Hata katika huo uchaguzi mwingine tutakuwa naye."
}