GET /api/v0.1/hansard/entries/755604/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755604,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755604/?format=api",
    "text_counter": 196,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Vincent Tuwei Kipkurui",
    "speaker_title": "The Member for Mosop",
    "speaker": {
        "id": 13436,
        "legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
        "slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
    },
    "content": "Pili, nina shukrani kwa sababu ya kuchaguliwa kwako kama Naibu Spika kwa kura nyingi sana. Tatu, ningependa kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa yale yote ambayo amesimamia kama kiongozi wa nchi hii. Tukitafakari yaliyotokea hapo nyuma tunakumbuka kwamba kuna watu wengi ambao walipigania haki ya nchi hii ili tujitawale. Walipigania haki hiyo kwa machungu na maisha yao. Katiba ambayo tunayo hivi sasa imetokana na matukio ya miaka ishirini iliyopita ikiwa ni mchakato wa wale ambao walikuwa na nia nzuri kwa nchi hii. Sisi sote ambao tumepata nafasi ya kuchaguliwa hapa ni kwa sababu ya demokrasia ambayo iko nchini."
}