GET /api/v0.1/hansard/entries/755607/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755607,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755607/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Vincent Tuwei Kipkurui",
    "speaker_title": "The Member for Mosop",
    "speaker": {
        "id": 13436,
        "legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
        "slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
    },
    "content": "Uchumi wetu hivi sasa unapitia pagumu. Nimesikia Wabunge wenzangu wakisema kwamba kwao kuna shida ya ukame. Kule kwetu Rift Valley tunamshukuru Mwenyezi Mungu Maulana kwa sababu tunayo mvua kochokocho. Hivyo, mahindi na mazao mengine mengi yatakuwepo na nchi hii itakuwa pazuri. Tunachoomba Serikali ni kwamba bei ya mazao hayo iangaliwe ili kukidhi maisha ya wananchi ambao wanategemea sana kilimo. Sisi sote tunao wajibu. Nashukuru Mwenyezi Mungu kwamba tarehe 17 Oktoba tutakaporudia uchaguzi wa Rais, tutahakikisha kwamba Rais Kenyatta anashinda kwa kura nyingi zaidi ili kutoa aibu ambayo tumepewa na wenzetu. Ahsanteni."
}