GET /api/v0.1/hansard/entries/755609/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755609,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755609/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Woman Representative for Tana River County",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Hon. (Ms.) Rehema Hassan): Kwanza nataka kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipatia uongozi, kwa sababu kiongozi anatoka kwake. Pili, nataka kuwashukuru wananchi wa Tana River kwa kunichagua kuwawakilisha. Kweli, hayo mashindano yalikuwa magumu sana hasa kwangu mimi ambaye natoka jamii ndogo ambayo inaitwa Wailwana. Ninajua hata hamjawahi kusikia jina kama hilo; ni mara yenu ya kwanza."
}