GET /api/v0.1/hansard/entries/755611/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755611,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755611/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Woman Representative for Tana River County",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Rais kutokana na Hotuba yake ya jana. Nimeona hakika tuko na Rais ambaye anapenda wananchi wa Kenya. Wakati uamuzi ulipokuwa ukisomwa nilijifungia nyumbani na nikaanza kuomba, ‘Yarabi Mungu tusaidie yasije tena yaliyopita.’ Kwa hivyo, nimeona huyu Rais wetu ni mpenda wananchi wake kwa sababu si rahisi uwe mshindi kisha uambiwe eti wewe si mshindi. Nilikuwa nimeona vita mimi. Nilisema, ‘Haya, tutapigana tena!’ Lakini Mungu aliyasikia maombi yetu maana nina uhakika Wakenya wengi waliomba na Mungu akawasikiza."
}