GET /api/v0.1/hansard/entries/755613/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 755613,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/755613/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Woman Representative for Tana River County",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kulingana na Hotuba hiyo, wengine waliotangulia waliuliza ni kwa nini Mheshimiwa Rais hakusema maendeleo aliyotupangia. Wakati uko kwa vita huwezi kukumbuka kupanga. Unakumbuka tu kupanga silaha utakayopigana nayo. Kwa hivyo wananchi wa Kenya ni lazima tumuelewe Mheshimiwa Rais. Ako na vita. Saa hizi anajipanga kwa sababu ya vita kwa sababu ni lazima Mungu akipenda tarehe 17 Oktoba ashinde. Na sisi tutamuunga mkono kuhakikisha ameshinda na atuongoze alivyotuongoza hii miaka mingine iliyopita. Kwa kuongezea, tupende kudumisha amani. Vita havitusaidii. Tuwe watu wa kukubali ushindi. Utakaposhindwa kubali. Kenya ni muhimu kuliko mimi na wewe. Ahsanteni."
}