GET /api/v0.1/hansard/entries/756054/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 756054,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/756054/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Woman Representative for Nakuru County",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Hon. (Ms.) Liza Chepkorir Chelule): Ahsante sana Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi. Mimi ni Hon. Liza Chelule, mwakilishi wa akina mama kutoka Nakuru Kaunti. Nachukua nafasi yangu ya kwanza kurudishia shukrani sana wananchi wote wa Nakuru kwa kunipatia nafasi katika Bunge la Kitaifa kuwakilisha akina mama. Nawashukuru sana wananchi wote wa Nakuru kwa kunipatia kura zao bila kujali mambo yoyote, kwa mfano, jamii. Walinipatia kura zao zote bila kujali mambo ya ukabila. Nawapongeza sana na ningependa kuwaeleza kwamba nitawafanyia kazi kadri ya uwezo wangu na kulingana na Katiba ya nchi yetu ya Kenya."
}