GET /api/v0.1/hansard/entries/756057/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 756057,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/756057/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Woman Representative for Nakuru County",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pongezi nyingi sana akina mama wezangu ambao mmechaguliwa kutoka kaunti 47. Tukiwa pamoja, tutafanyia akina mama kazi katika nchi yetu ya Kenya. Tunajua kwamba shida inayowakumba akina mama katika nchi yetu ni ukosefu wa maji. Naamini ya kwamba tutapitisha katika Bunge hili Miswada yenye manufaa kwa akina mama. Tutafanya chochote kulingana na uwezo wetu kuhakikisha akina mama wanapata maji."
}