GET /api/v0.1/hansard/entries/756669/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 756669,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/756669/?format=api",
"text_counter": 193,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Member for Taveta",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Dr.) Naomi Namsi Shaban): Asante sana, Mhe. Spika. Pia mimi sina budi kujiunga na wenzangu kuwapongeza kwanza kwa kuchaguliwa kwenye Bunge hili la 12 baada ya kinyang’anyiro kilichokuwa kigumu. Nataka pia kuchukua nafasi na fursa hii kumpongeza Mhe. Rais kwa msimamo wake wa dhati na kwa upendo wa nchi yetu na kutuliza wananchi kuwa kuna umuhimu wa watu kudumisha amani wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi wa tarehe 17 Oktoba."
}