GET /api/v0.1/hansard/entries/757529/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 757529,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/757529/?format=api",
"text_counter": 83,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Limo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1915,
"legal_name": "Joseph Kirui Limo",
"slug": "joseph-kirui-limo"
},
"content": "Nchi ya Ujerumani mbayo imejitawala kwa muda mrefu na iko mbele sana katika mambo ya kompyuta imesema haitaki uchguzi unaohusiana na kompyuta. Katika Nchi ya Amerika, hivi juzi Rais Trump akishindana na Bi. Clinton, ilikuwa na shida ya kompyuta. Je, sisi ni nani? Je, tumekuwa watumwa wa huyu mtu anaitwa Raila? Sisi hatutaki hayo maneno. Tutengeneze sheria itakayookoa nchi hii. Wafanyabiashara ni wengi ambao wanangojea nchi irudi hali ya kawaida. Lakini kuna jamaa wanakimbia kwenye barabara wakisema eti fulani aondolewe kazi eti ndiyo washinde kura. Hiyo haiwezekani! Tunataka wananchi wafanye kazi kama kawaida. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}