GET /api/v0.1/hansard/entries/758338/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 758338,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758338/?format=api",
    "text_counter": 225,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ya kuzungumzia likizo hii tuliyopatiwa. Tumetoka hivi juzi kwenye kinyaganyiro cha uchaguzi na bado uchaguzi wa urais upo ambao utaendelea tarehe 26 mwezi ujao. La muhimu ni kwamba tunatakiwa kuzungumzia amani. Twende makwetu kujulisha wananchi umuhimu wa kupiga kampeni bila kupigana wala kugombana. Watu watofautiane kisera lakini sio kwa ngumi. Kuna umuhimu sote"
}