GET /api/v0.1/hansard/entries/758341/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 758341,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758341/?format=api",
    "text_counter": 228,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "twende tukazungumze na wananchi tuwaeleze yaliyojiri na",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa tu kuwajulisha wenzangu katika Bunge hili la Kumi na Mbili kwamba tumekuja hapa kwa sababu tumetumwa na wale waliotuchagua. Hilo ni jukumu na nafasi kubwa sana. Tusisahau kuwa wengi tuliowashinda wangali wana uwezo wa kuja hapa na kupigania yaliyotuleta hapa. Lakini la muhimu ni kukumbuka lililotuleta hapa. Tunapoelekea kwenya kinyaganyiro kijacho, tukumbuke kuwa Kenya ni muhimu kutuliko sisi sote. Kwa hiyo tudumishe amani. Tusiwapiganishe wananchi kwa misingi ya kisiasa ama kwa misingi ya kikabila ila tuwaunganishe."
}