GET /api/v0.1/hansard/entries/758519/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 758519,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758519/?format=api",
    "text_counter": 157,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Woman Representative for Samburu County",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Hon. (Ms.) Maison Leshoomo): Kumbe imekuwa NASA, sio CORD. Ningesema hivi, ni muhimu tuangalie kile kitu ambacho kitawasaidia wananchi wa Kenya. Mhe. Wamalwa amesema kwamba kuna temperature. Nani amepima akatuambia temperature inapimwa namna gani? Pili, sijui kama yeye ni daktari. Ni vizuri mnisikize. Hiyo temperature kama iko Kenya inaletwa na NASA. Kila mtu anajua hivyo. Kwa hivyo, wakitaka wateremshe hiyo temperature kwa sababu wao ndio wanaoleta"
}