GET /api/v0.1/hansard/entries/758543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 758543,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758543/?format=api",
"text_counter": 181,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Nashukuru kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kuunga mkono Hoja hii kwa sababu ya mambo yafuatayo: Sisi ni Wabunge na tulisikia maamuzi yaliyotolewa katika Mahakama ya Juu. Watu wawezao kuokoa nchi kutokana na shida ambayo tuko nayo ni sisi Wabunge. Tulisikia Rais wa nchi hii akisema kuwa watu watakao okoa nchi hii sasa ni Wabunge. Ningependa kusema kuwa, sheria haikuumba mwanandamu ila ni mwanadamu ndiye aliyetengeneza sheria. Ningependa kumkumbusha yule wakili ambaye ni Mbunge kama mimi jambo moja: unaweza kuwa na masomo, uwe na shahada ya kwanza, Masters, uwe mchungaji ama uwe na utajiri lakini kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}