GET /api/v0.1/hansard/entries/758546/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 758546,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758546/?format=api",
"text_counter": 184,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika, naelewa mjadala kuhusu kupunguzwa kwa siku 14 hadi siku moja. Ingawa hivyo, imenilazimu nizungumze namna hiyo kwa sababu kama usambazaji wa matokeo ndiyo ulileta shida, basi tuzungumzie suala hilo. Uchumi umeenda chini kwa sababu ya siasa yetu. Tukae pamoja na tusilete mambo ya NASA ama Jubilee hapa. Sisi tumechaguliwa ili tutengeneze sheria ambayo itatusaidia."
}