GET /api/v0.1/hansard/entries/758556/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 758556,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758556/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Simba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 12532,
        "legal_name": "Paul Simba Arati",
        "slug": "paul-arati-simba"
    },
    "content": "Mheshimiwa Naibu Spika, ningependa kuzungumzia maswala muhimu ambayo lazima tukubaliane kwa sababu lazima tufuatilie sheria ambazo zipo kuhakikisha kwamba ndizo za ukweli. Waheshimiwa wamesema vizuri kwamba kuna joto jingi katika nchi yetu. Nataka tuhakikishiane kwamba joto hilo litakuwa jingi sana. Litakuwa jingi hata wengine wenu mtaruka kupitia madirisha mkielekea nje. Joto hili tutahakikisha kwamba tumelihifadhi kwa kutia kuni nyingi mno. Ni tabia mbovu na nia mbaya kwa watu wenye akili ndogo kutaka kuongoza wenye The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}