GET /api/v0.1/hansard/entries/758560/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 758560,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758560/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Simba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 12532,
"legal_name": "Paul Simba Arati",
"slug": "paul-arati-simba"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika, ukiona watu wanapiga kelele basi wana akili ndogo. Aliye na akili kubwa hawezi kupiga kelele ambayo inapigwa sasa hivi. Mimi nataka kusema bila kuogopa, kuna nia mbovu ya kupunguza muda wa kuchapisha Miswada hii. Kwa sababu ya hiyo nia mbaya tunawaambia kwamba: Nyinyi mmeanza lakini chuma ki motoni na tutahakikisha kwamba hamna sababu ya mtu yeyote kutufanyisha biashara mbaya."
}