GET /api/v0.1/hansard/entries/758565/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 758565,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758565/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Pukose",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1458,
"legal_name": "Robert Pukose",
"slug": "robert-pukose"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika, nasimama kwa hoja ya nidhamu nikitaka kujua kama Mhe. Simba Arati ako sawa kutuonyesha kidole na kutuambia kwamba chetu kiko motoni na kutumia vitisho kwenye hotuba yake kuhusu kupunguza muda wa kuchapisha Mswada kutoka siku 14 hadi moja. Hilo jambo linastahili sisi kutishwa? Ni jamaa ambaye anauza mboga Kawangware na mimi ni daktari!"
}