GET /api/v0.1/hansard/entries/758735/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 758735,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758735/?format=api",
    "text_counter": 373,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Tuwei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13436,
        "legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
        "slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
    },
    "content": "Nikimalizia, sisi pia kama viongozi tunafaa kuajibika. Sisi ndio tunatakiwa kuunda sheria zitakazodumisha amani na utengamano miongoni mwa jamii zetu. Tunafaa tuangalie shida zinazohusu wafugaji. Ni sababu gani mambo kama hayo yanatokea? Kama ni mambo ya kuimarisha utendakazi wa usalama na kitega uchumi, basi inafaa tufanye hivyo ili tuone kwamba wananchi wetu wameweza kuishi kwa amani. Kwa hayo machache, asante Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii. Pia, nachukua nafasi hii tena kuwapa Mhe. Ng’eno na Mhe. Konchella rambirambi zangu."
}