GET /api/v0.1/hansard/entries/758958/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 758958,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758958/?format=api",
"text_counter": 211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13398,
"legal_name": "Amin Deddy Mohamed Ali",
"slug": "amin-deddy-mohamed-ali"
},
"content": "Kuhusiana na Kalenda ya Bunge, nakubaliana nayo. Naunga mkono jinsi ambavyo mikakati imeandaliwa ya Wabunge labda kurudi mashinani na kuzungumza na wenyeji ila tu pia naongezea uzito kwamba fedha zinazohitajika za Hazina ya Kitaifa ya Maendeleo ya Maeneo- Ubunge (NG-CDF) ziweze kufika ili tuweze kuwahudumia wananchi."
}