GET /api/v0.1/hansard/entries/759194/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 759194,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/759194/?format=api",
    "text_counter": 140,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Speaker wa Muda, tukiwa na sheria ambayo haieleweki vyema kabisa, kama vile yalikuwa malengo ya Bunge walipokuwa wakitunga ile sheria, ikipelekwa mahakamani au kortini, wale mahakimu wanaweza wakasema vile ambavyo wanavyotaka kuihusu. Kwa hivyo, ni vizuri sisi wenyewe tuitengeneze kama vile ilivyoletwa hapa kwa marekebisho na kuangaliwa zaidi. Hakuna kitu ambacho ni kizuri asili mia kwa mia ndiposa kila kitu kinapaswa kuangaliwa vizuri. Kwa mfano, hata ukinunua gari jipya, bado litakuwa na gurudumu la “spare.” Hata binadamu mwenyewe akiwa ameumbwa na Mungu---"
}