GET /api/v0.1/hansard/entries/759204/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 759204,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/759204/?format=api",
"text_counter": 150,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Hata binadamu mwenyewe akiumbwa, hata akiwa mzuri vipi, huumbwa na figo mbili, moja ikiwa ya ziada. Hii ni kwa sababu binadamu anahitaji figo moja tu ndiposa ikikosa kufanya kazi vizuri, atatumia ile figo ingine. Kwa hivyo, nakubaliana na hii sheria, hasa jopo hili; kuwa watakapoanza kuangalia maswala haya, waseme tuwe tunatumia njia zote mbili. Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Naunga mkono."
}