GET /api/v0.1/hansard/entries/759257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 759257,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/759257/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa fursa hii ya Kuchangia Hoja hii ya kuchaguliwa kwa Kamati hii maalum ya Seneti kujadili mabadiliko ya sheria za uchaguzi. Mwanzo, ningependa kumkosoa mzungumzaji aliyetangulia kusema kuwa maandamano sio public participation . Kwa hakika, hio ndio mojawapo ya mbinu wanazotumia wananchi katika public participation kupima mambo yao. Nikirejea kwa Hoja iliyopendekezwa, Hoja hii inaturudisha nyuma zaidi ya miaka ishirini kutoka tulipoanza mchakato wa vyama vingi nchini Kenya. Mwaka wa 1988,"
}