GET /api/v0.1/hansard/entries/759279/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 759279,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/759279/?format=api",
"text_counter": 225,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Ningependa kupinga Hoja hii kwa sababu zifuatazo. Kuunda kamati ambayo itaangalia njia ya kugeuza zile sheria za uchaguzi, hasa tukizingatia kwamba juzi tulikuwa na kesi kortini na Mahakama ya Upeo ilitoa uamuzi wake na kusema turudi kwa uchaguzi tena. Litakuwa jambo la kinyume cha zile sheria na uamuzi wa Mahakama ya Upeo ikiwa tutabadilisha sheria ya uchanguzi. Tumeambiwa tuende tukafanye uchaguzi kulingana na sheria. Kwa hivyo, ni lazima tuzingatie zile sheria ambazo zilikuwa wakati huo. Si sheria mpya kutumika bali zile sheria zetu kama vile zilivyo zitumike."
}