GET /api/v0.1/hansard/entries/759284/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 759284,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/759284/?format=api",
"text_counter": 230,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kusimama naye tukishukuru sana kwamba leo tunaweza kufurahikia tukisema upande ule ni wa Jubilee na upande huu ni wa NASA lakini sisi sote ni ndugu na Wakenya. Tunaweza kupingana kimawazo na hiyo ni sawa. Tutachukua jukumu hivi sasa. Ikiwa Mahakama ya Upeo iliweza kupitisha uamuzi wake vile ilivyopitisha. Nafikiria itakuwa si jambo nzuri ikiwa Hoja hii inaweza kupitishwa na kuwa sheria ya nchi hii. Mimi nataka kupinga Hoja hii kwa sababu si wakati mwema wa kupitisha Mswada wa kugeuza sheria za uchaguzi. Asanta sana."
}