GET /api/v0.1/hansard/entries/760400/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 760400,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/760400/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. King’ara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13468,
        "legal_name": "Simon Nganga Kingara",
        "slug": "simon-nganga-kingara-2"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Mwenyekiti. Kusema kweli, tuko hapa kuhusisha wakenya wote. Kama kuna jambo lolote la kutenga wengine, basi hatutendei Wakenya haki. Kwa hivyo, ni vyema kufanya mambo haya yote kwa uwazi na tuandike maandiko yatakayosomwa na wote kwa sababu hakuna Mkenya nusu; Wakenya wote tuko sawa na tunastahili kuheshimika sawa."
}