GET /api/v0.1/hansard/entries/763198/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 763198,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/763198/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ruweida Mohamed Obo",
    "speaker_title": "The Woman Representative for Lamu County",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Spika wa Muda. Ninakushukuru kwa kunipatia nafasi ya kuchangia Hoja hii. Ni vizuri wale wakulima walipwe kwa wakati mzuri. Pia kule Lamu kuna wakulima wa ufuta. Wakulima hao waliambiwa watapewa fidia ili ile ardhi itumike kwa mradi wa coal . Sasa ni miaka na wakulima hao hawawezi kulima na hawajalipwa."
}