GET /api/v0.1/hansard/entries/763267/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 763267,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/763267/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ali Athman Sharif",
    "speaker_title": "The Member for Lamu East",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Suala la ukulima katika nchi yetu ya Kenya, Mhe. Spika wa Muda, limekuwa ni doda sugu. Kwa maana hiyo, utapata ile hali iliyoko kwa wakulima wetu leo kama Waheshimiwa wanavyoizungumzia, hakuna mkulima yeyote ako na furaha kwa sababu ya kufanya kazi hii. Sababu ambazo zinasababisha haya yote yamezumgumzwa ni tofauti za hapa na pale. Pengine ni wahusika wakuu wanaosimamia suala hili kuwasaidia wakulima, ama utaratibu unaotumika kuwatumia na kuwasaidia wakulima. Sababu ni nyingi zinazofanya wakulima hawa kufa moyo na kutokuwa na hamu ya kufanya ukulima."
}