GET /api/v0.1/hansard/entries/763269/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 763269,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/763269/?format=api",
"text_counter": 195,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ali Athman Sharif",
"speaker_title": "The Member for Lamu East",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Leo tunazungumzia masuala ya wakulima wa miwa lakini tatizo hili si la wakulima wa miwa peke yao. Tatizo hili liko kwa kila nyanja kama ilivyogusiwa na wenzangu hapa. Tatizo liko kila nyanja. Leo sisi kama nchi hatupaswi kuomba mambo fulani katika nchi za inje, ama kama nilivyosema, tunaleta bidhaa kutoka nchi za inje, na ilhali sisi tunazo kila sababu na kila kitu cha kuweza kufanya mambo haya."
}