GET /api/v0.1/hansard/entries/763270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 763270,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/763270/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ali Athman Sharif",
"speaker_title": "The Member for Lamu East",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Suala hili la miwa tunafaa kuliangazia. Kwa mfano, kuna viwanda ambavyo hivi sasa vimekufa, vimetupilia mbali kazi ama vimeweza kutoweza kufanya biashara hii. Kuna Kiwanda cha Ramisi, Pwani. Hakuna sababu hata moja ya viwanda hivi kufungwa. Ikiwa nchi hii itasimama na idhamini ukulima, sioni sababu ya matatizo kama haya. Leo, sioni sababu Serikali itumie pesa kununua vyakula vya kupea watu katika sehemu ambazo zina ukame. Pesa hizi zinazotumiwa kununua bidhaa hizi za kugawia watu wenye njaa na sehemu kame, kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}