GET /api/v0.1/hansard/entries/7640/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 7640,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7640/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Bett",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 157,
"legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
"slug": "franklin-bett"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ni kweli kwamba tumetoa kandarasi Sibanga, Kitale, na Chepkoilel mpaka Kachibora. Ni kweli kwamba kuna sehemu kutoka Kachibora hadi Sibanga ambayo imebaki. Ningetaka kuihakikishia Bunge hili kwamba, hatuwezi kuiwacha sehemu hiyo kwa sababu ni barabara moja hadi Kitale. Pesa ambazo tuko nazo zinatosha kutengeneza barabara kutoka Sibanga hadi Kitale. Tukipata pesa msimu ujao, tutamaliza kutengeneza barabara hiyo kutoka Sibanga hadi Kachibora."
}