GET /api/v0.1/hansard/entries/7641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 7641,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7641/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Joho",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 30,
        "legal_name": "Hassan Ali Joho",
        "slug": "hassan-joho"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ninampa hongera Waziri kwa Kiswahili chake sanifu. Mvua iliyopita katika nchi hii imeleta hali ya taharuki kwa barabara nyingi. Kule Mombasa, imetupa kizungumkuti kwa sababu hatujielewi pale tulipo katika hali ya barabara. Utalii ni muhimu sana katika Kaunti ya Mombasa na ni mlango wa kuingia katika Afrika kaskazini. Je, Waziri ana mikakati gani kabambe ya kuharakisha urekebishaji wa barabara zetu?"
}