GET /api/v0.1/hansard/entries/7644/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 7644,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7644/?format=api",
"text_counter": 307,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Bett",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 157,
"legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
"slug": "franklin-bett"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ninaamini kwamba mheshimiwa Mbunge anataka barabara hiyo irekebishwe. Kusema kweli, hilo ni Swali tofauti na Swali ambalo linajibu. Ningemwomba Mheshimiwa Mbunge alete Swali bungeni la kipekee ambalo linahusu barabara hiyo ili nitafute jibu ambalo litamfaa kwa sababu yeye ni mwanaume tosha!"
}