GET /api/v0.1/hansard/entries/7645/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 7645,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7645/?format=api",
    "text_counter": 308,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ninampongeza Waziri kwa kazi nzuri anayoifanya Makadara na Cherangany. Kwanza, ningetaka Waziri atuambie ni kwa nini Wizara yake inapeana kazi kwa wanakandarasi wafidhuli, wazabinazabina, marambuza, wanahizawa, ambao wanaongezea pesa za kandarasi ilhali kuna wanakandarasi ambao wanapeana viwango vya chini vya pesa, ilhali wote wana vibali sawa, na wamehitimu kufanya kazi ya kukarabati barabara."
}